Ne-Yo atatumbuiza Uganda ijumaa hii

11809926_164247373925199_1297004756_n

Msanii huyu wa Marekani ametua jijini Kampala nchini Uganda kwa ajili ya kufanya shoo yake ijumaa hii katika uwanja wa cricket wa Lugogo.

Ne-Yo ambaye ameimba ngoma “closer” ni mara yake ya kwanza kutua Uganda japo mara ya tatu kuwa Afrika

Muimbaje huyu alikuwa nchini Kenya aliporekodi ngoma na wasanii mbalimbali kwenye kipindi Coke Studio Afrika.

“Waddup..” ndio neno alilopost kwenye instagram yake punde alipotua nchini Uganda

Advertisements