Dayna Nyange na Wimbo mpya-‘ANGEJUA’

Msaani wa kike nchini Tanzania anayefanya vizuri kwenue Game, baada ya Kuachia ngoma yake “Unataka Nini” amerudi tena kwa ujio mwingine hatari.

Dayna Nyange ambaye anajituma kimuziki ili kufikia upeo wa kimataifa, ameachia Audio Na Video ya ngoma yake mpya yaitwa-‘ANGEJUA’.

dayna nyange's profile photo         View photo in message  View photo in message

Producer wa hii ngoma naye ni MR. T TOUCHEZ, huku akirekodia kwa  Studio ya FREE NATION SOUND.

Unaweza kutazama kichupa chake hapa chini;

My Brand New Video  ANGEJUA link👇

Official Music Video: http://youtu.be/0XwQ7gwTVLE
instagram>>daynanyange
tweeter>>..daynanyang
facebook>>>daynanyange
View photo in message
Advertisements