Ringtone, Christina Susho wanajipya tena

Mwanamuziki wa Injiki ambaye alitangaza kustaafu kufanya muziki kama miezi miwili ilikwisha anajitayarisha kukupakulia wimbo wake mpya.

Ringtone amemshirikisha nyota wa ngoma za Gospel, Christina Shusho ambaye walionekana  pamoja sehemu za ziwa Magadi huku akidaiwa kuwa kakodisha Chopper mbili kwa shilingi 500,000 kwa ajili ya kufanya bonge la video ya wimbo huo.Ringtone, Christina Shusho Sh500,000 chopper affair

” Ni kweli nilitangaza kustaafu ila bado nashauri mashabiki wangu kuhusu hili. Hii collabo na Christina Shusho ni kitu tofauti  tulichotarajia kukufanya. Ni ya aina tofauti na zote nimewahi kuzifanya kabala. Hii si ya kukosa kuona” alisema Ringtone.

Advertisements