VIDEO: WAPI VIDEO

Gold P Classic ni Msanii chipukizi kwenye muziki wa Kizazi kipya  ambaye ana malengo na bidii ya kufanikisha malengo yake kimuziki.

Bonpotter Shaban ndilo jina lake halisi ila kwnye jukwaa muziki ni Gold P classic. Ameachia ngoma yake ya kwanza kabisa “Wapi Ahadi” na ambayo Audio imetayarishwa na African Touch na video kuongozwa na Thome Boomba Video.

Ni msanii mkazi wa jiji la Nairobi japo kaaliwa kaunti ya Magharibi ya Kenya, Mamaake mwenye asilia ya Pwani na Baba kutoka Western Kenya.

Advertisements