Mastaa wa Kike wenye Upweke — antonymckenzie

Kumbe pia kuna mastaa wengi wa kike wenye majina tajika bado wapo ‘single’ maishani? Wasanii hawa ni miongoni mwa watu maarufu sana Kwenye tasnia ya muziki na pia kwenye miasha ya kawaida tu. Victoria Kimani mkali wa wimbo wa Prokoto anadaiwa huwa hayupo kwenye mahusiano ya kimapenzi tangu alipodaiwa kutoka kimapenzi na mchezaji wa Tottenham […]

via Mastaa wa Kike wenye Upweke — antonymckenzie

Advertisements