ECN Radio na Ngangalito ft Kenrazy-NAKUPENDA.

Tasnia ya muziki Kenya imeanza kuchukua sura mpya kwa mtindo wa aina yake.

Aina tofauti za utunzi wa nyimbo zinaleta ladha na ubora kwenye kazi za sanaa. Msanii aliyewahi kuibuka mshindi kwenye shindano la kuimba ‘ Tusker Project Fame’ amekuja na ujio mpya kwa kumshirikisha mkali wa ‘Vitambi’ Kenrazy.

Kenrazy

 

Kenrazy, Ngangalito & Lemayan

 Wakali hawa wawili wa Afro R&B na Ghipuka wakiwa kwenye kituo cha radio cha ECN Radio 99.9fm kwenye kipindi kinachoruka hewani saa(7-10pm) kila siku ya wiki na Mtangazaji anayefahamika kama Dj Kemgal, waliachia ngoma yao ya pamoja ‘ Nakupenda’  Alhamisi wiki iliyopita.

Wawili hao walikaribishwa kwa moyo mkunjufu na mkuu wa Radio hii ya Ecn bwana Alex Manya.

Ngangalito, Alex Manya & Kenrazy in Ecn Radio

Lakini pia wanahabari wengine Wa humo studioni.

Ngangalito, Dennis Milimo & Kenrazy

Tazama Video yao mpya kwa link hapa chini.

Wasanii haNAKUPENDA – NGANGALITO ft. KENRAZY [Lyric Video]: http://youtu.be/isAKW2odAig

Advertisements

One response to “ECN Radio na Ngangalito ft Kenrazy-NAKUPENDA.

Comments are closed.