Makala ya Wakali Wetu- PAPA JONES

Khaligraph Jones anayefahamika kwa majina halisi ya Brian Ouko Robert, alizaliwa tarehe 12 June 1990. Ni msanii wa muziki wa aina ya Hip Hop nchini Kenya. Papa Jones alitia guu lake kwenye tasnia ya muziki na burudani mwaka 2009 punde baada yake kushinda tuzo ya Kenya Makala ya Channe O kwenye kitengo cha Afrika Emcee akiwa na umri wa miaka 19.

BB

Khalighraph Jones

Mkali huyo wa ‘Yego’ kibao kilitesa anga za burudani amekulia mitaa ya Eastlands kunako aminika kuwa hatari kuishi kwani swala la usalama huko linasuasua. Maisha ya ghetto yamefunza mengi mazuri na mabaya kwani Papa Jones anatokea Kayole aka Kayole 1960.Hata hivyo mkali huyo wanaonekana kuleta mageuzi mengi na mapya huku akiupa sura mpya muziki wa Hip Hop hapa Kenya licha ya kukabili changamoto na vikwazo kwenye maisha ya ghetto.

khalii

Papa Jones

Bila shaka maisha hayo magumu ndio yaliomfanya akaamua na kujitoza kwenye muziki zaidi ya kitu kingine.
Tangu ajishindie tuzo ya Channel O mwaka 2009, Jones Baba Yao ameshirikiana na wasanii wengi wa muziki Kenya kama vile Xtatic, Stella Mwangi,Rabbit, Kristoff, Abbas Kubaff, Chiwawa, Christine Apondi, The Mith of Klear Kut, Kaytrixx, Dj Creme Dela Creme na Ulopa Ngoma.
Mfumo wake na uwezo mkubwa wa Kuchana mistari bila tatizo kumfanya kuwa msanii wa aina yake, tofauti na wa kupendeza kwenye midundo.

motoo

King Khali

Khaligraph Jones kufikia sasa amemiliki tuzo ya Channel O Emcee Africa aliyoshinda akiwa na umri mchanga wa miaka 19.

PAPA

Papa Jones

Advertisements