New Video: Waache Waoane

Msanii kutoka kundi maarafu la muziki “TMK Wanaume Family” ameachia video yake mpya inayoitwa ‘Waache Waoane”.

Chege Chigunda


Mkali wa ‘Sweety Sweety’ Chege Chigunda amemshirikisha Diamond Platnum kwenye video hio ambayo imeongozwa na Justin Campos.
Tazama kwenye link hapa chini.

Chege Feat. Diamond Platnumz | Waache Waoane | Of…: http://youtu.be/bBnzibFy0WE

Toa maoni yako pia. 

Mkazivaeunit

Advertisements