New Video: “WEWE”- Susumila ft Avril

Msanii wa pwani anayefahamika kwa nyimbo zake moto moto kama  vile “Hidaya” ameachia video ya wimbo wake na msanii wa kike wa Nairobi.


Susumila Yusuf na Avril Kenya wameshirikiana kwenye ngoma iitwayo “WEWE”.
Producer: TOTTI 

director: RICKY BEKKO

Kuwa wa kwanza kuitazama na kutoa maoni yako.

Mkazivaeunit

Advertisements