New Video: “TULIA”

Video ya wimbo wenye maadhi ya Chakacha ipo tayari na ambayo ina jina “Tulia”.Trizah B ameachia ngoma zake tatu ya kwanza “ Nambie”ya pili “Waniumiza” na pamoja na hii “Tulia”.


Ni video yenye ubora wa aina yake ambayo imeandaliwa na Producer: Danson Jr  na Murimi. Director ni Blessed Sam – Kibali Pictures.

Kwa mujibu wa Trizah amesema kuwa wimbo huo unazungumzia kutulia kwa mtu yeyote ambaye anapitia maisha magumu.
Pata kuitazama na kutolea maoni yako.

mkazivaeunit

Advertisements

One response to “New Video: “TULIA”

Comments are closed.