Yemi Alade”Want You” video 

Mwimbaji maarafu Afrika na duniani kwa ngoma zake matata kama vile ‘Johnny’ ‘ Na Gode’ ‘ Ferrari’ na ‘ Africa’ aliyoshirikisha Sauti Sol amerudi tena na kazi mpya.
Yemi Alade ambaye kwa sasa anatamba kwa kibao kipya kwa jina la “Want You” anasifika na kuskika duniani kwa kuwakilisha taifa lake la Nigeria na Afrika kote duniani.

Yemi Alade


Ni bonge la video na director ni Ovie Etseyatse.


​Pata kuskiliza na kufahamu mengi kuhusu Yemi Alade na muziki wake na usambaze upendo.

mkazivaeunit

Advertisements