New Video: “HACHELEWI” Hezzpa ft Falenzy Usher

Kutana na msanii wa Kenya ambaye utapenda kukutana naye.

Hezzpa wimbaji anaye jituma kufikia hatua ya juu kimuziki na kuleta maendeleo kwenye game ya muziki amekuwa akirekod na kufikia sasa ana nyimbo tatu na video mbili.


Kwenye juhudi zake za kufanya muziki bora na kuelimisha jamii ana mpango wa kuwafaidi mayatima wengi katika kanda ya Afrika Mashariki ama alivyo yeye.
Ni msanii wa kiume ambaye amemtaja Jose Chameleon na Susumila kuwa miongoni mwa wasanii anaopania kufanya collabo nao.

Hezzpa


Hezzpa pamoja na kuwa msanii Wa nyimbo za secular ametanua wigo na kumshirikisha mwanamuziki wa aina ya gospel, Falenzy Usher kwenye collabo yao Hachelewi”.
Video hii imefanyiwa Islando na imeongozwa na Jay ambaye ndiye hushoot Mseto East Africa.

Hezzpa


Kwa sasa unaweza kutazama collabo hii ya “Hachelewi” kisha usambaze upendo.
Fuata link ifuatayo:

mkazivaeunit

Advertisements

3 responses to “New Video: “HACHELEWI” Hezzpa ft Falenzy Usher

Comments are closed.