New video: “SHENGELEE” J.I mtoto wa Nzega

Kuwa wa kwanza kupata uhondo huu wa kazi mpya video ya wimbo “Shengelee” wake J.I mtoto wa Nzega. Mkali huyu kutokea Bongo Tanzania ndiye aliachia ngoma mwamba “Katoto Kadogo” na kupeta sana uswahilini na pia Afrika Mashariki.

J.I


Video imepitia kwa mikono ya director, Khalfani Khalmandro.
Bonyeza link ifuatayo:

BRAND NEW VIDEO

 J.I MTOTO WA NZEGA

#SHENGELEE

Advertisements