Fahamu mistari ya Rayvanny kwenye wimbo ‘Salome’ alicopy kwa msanii huyu

Wimbo ambao umekuwa maarufu kwa kipindi kifupi ndani ya wiki mbili na kugonga views zaidi ya Million moja, umekuwa na tandarira.

Rayvanny na Diamond


Kuna tetesi za uvumi mitaani kwamba msanii wa chini ya lebo ya Wcb Wasafi, Rayvanny kwenye wimbo unaotamba kwa jina ‘Salome’ alidondoa mistari na kuitafsiri kwa kiswahili kutoka kwa msanii wa ughaibuni maarufu kama Demarco.

Hii ndio mistari anayoimba Raymond ambayo ambayo inakisiwa kudokolewa kwa wimbo mmoja wa Demarco.


Wimbo ‘Salome’ ni remix kutokana na wimbo wake mkongwe wa muziki Tanzania mama Saida Karoli.

Mama Saida Karoli


Remix hii ambayo Diamond ameshirikisha mdogo wake Rayvanny pia kwenye video yake wasanii wengine kwenye lebo ya Wcb Wasafi wameonekana.

Harmonize na Wolper

#Fahamu

mkazivaeunit

Advertisements

2 responses to “Fahamu mistari ya Rayvanny kwenye wimbo ‘Salome’ alicopy kwa msanii huyu

Comments are closed.