Je Nani Shujaa wako??

 Leo ni Leo msema kesho mrongo. Ni siku maalum ya kuonyesha uzalendo na upendo kwa nchi yeti ya Kenya.

​Siku hii ya tarehe 20 Oktoba ni muhimu katika historian ya nchi ya Kenya kwani ndo siku ya kuwatambua mashujaa watu mbalimbali katika nyanja mbalimbali.

Kwa sasa burudani ya mapema inatolewa katika uwanja wa michezo wa Kenyatta Stadium mji wa Machakos kwake gavana Alfred Nganga Mutua.

Maelfu ya wakenya wazalendo na mashujaa mbalimbali wameandamana na rais Uhuru Kenyatta kufanikisha na kuipamba siku hii ya Mashujaa wetu.

Msanii wa muziki wa injili kwa jina Real G ametupia Spoken Word yakuendana na siku hii muhimu. Je nani shujaa wako?
Soma spoke word yake hapa chini.

Spoken WordMASHUJAA DAY

Artist ⚡ _Real g

񚰼򌀼򊠼🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪򌀼򊠼򌀼򊠼򌀼򊠊
Kuna uwezekano leo Mum atatupikia chapati na kastew ka mboga

Kuna uwezekano pia leo ntadunga ile Sunday best.

Chances are also very high that leo Dad atatupeleka out.

Na Probability ya tupelekwe uhuru park ni 60% na pale city park inachezea 40%..

But first.. .. Wacha niamke ..
Hizo ndio past memories za nikiwa mdogo

Times zenye Holiday kama ya leo ilikuwa inaokolea sana.. Design hio ndio day chapati inapikwa

Hio ndio time nilikuwa naomba ukuta ya home ikue na Aroma proof ndio watoto wa jirani wasijue tunapika

Haha I think kama umepitia such unaweza jiita Shujaa 
Freedom tuko nayo leo design hata ya kuhang kwa helicopter

Haikujileta

It was fought for..blood was shed for our freedom

Mzungu hakutoka in peace alitoka in pieces 

Since badala ya akuje kutu_advice alikuja ku-add vices 

So leo we ought to Big up Mashujaa wetu 
Watu ningekuwa na gun ningewapea 21GunSalute

Watu walihave kulala kwa msitu ndio leo hii nilale kwa bed 

Watu walijitolea mhanga tupate uhuru wetu wakenya. Respect 

So kama uko hapo na unajenga kenya ndio kesho watoto wako wapate a better place wee ni Shujaa
Kama unakula one meal a day ndio familia isilale njaa wee ni Shujaa

Kama umeamua Your tribe is kenya na Hutambui Tribalism wee ni Shujaa

Na kama you always work to make Kenya a Better place in all aspects 

Be it in Sports Business Entertainment kusupport our own 

Wewe ni SHUJAA

Nikiondoka naskia Dad ananiita nitoke bafu haraka tunachelewa
Ni Real g hapa 

Wishing you all a Happy Mashujaa Day

mkazivaeunit

Advertisements