Wimbo Mpya: Alikiba – “Risabela”

Mwimbaji mwenye kipaji na bonge la sauti baada ya kuimba ‘Aje’ ameachia wimbo mpya leo hii.

Msanii huyu yupo chini ya lebo kubwa duniani ya ” Sony World Music” yenye ushirikiano na lebo  ya RockStar 4000.


Wimbo unaitwa ‘Risabela’ ambao kwa sasa una zaidi ya views 1,570 kwa mtandao wa YouTube.
Ali Kiba aka King Kiba amekuwa na ukaribu na kundi la muziki Kenya Sauti Sol na pia kuwa nchini Kenya kipindi kirefu tu.

Kumbuka Sauti Sol waliwahi achia wimbo wao Isabella hapo awali na sasa ni zamu ya Ali Kiba na Risabela baada ya kufanya collabo ” Unconditonally Bae” wimbo ambao uliteka anga za burudani.

Ali Kiba

Sasa unaweza kuskiliza wimbo mpya wake Kiba hapa chini kwenye link..

Alikiba – Risabela (new song 2016): http://youtu.be/6Df0NmnM8XE

#mkazivaeunit

Advertisements