Diamond pia yumo kwenye Tuzo za AFRIMA 3.0 Leo

Siku zote mwenye malengo na ndoto za kufanya matanuzi maishani lazima awe na juhudi na bidii.

Juzi mwimbaji wa kimataifa amepost kwenye akaundi yake ya Facebook kuwania makala ya Tatu ya tuzo za wasanii bora barani Afrika ‘AFRIMA 3.0’ zinazotolewa hii leo Jumapili tarehe 6/11/2016 katika ukumbi wa Victoria Island jiji la Lagos Nigeria.

Diamond Platnumz amepost picha hio kwani pia naye ameteuliwa miongoni mwa wasanii wengi mbalimbali Afrika.

Tuzo hizo za mwaka huu waandaaji wameshirikiana na jumuia ya Muungano wa Afrika (AUC) na jiji la Lagos Nigeria kuandaa makala ya tatu ya Afrima 3.0.

Kalenda ya matukio yote kuanzia tarehe 4-6 yaani Ijumaa hadi Jumaili ya leo inajumuisha vipengele hivi;

Africa Music Business Summit 

Ijumaa, Novemba 4 , na

AFRIMA Music Village ,kisha tamasha litakalohusisha wateuliwa wasanii wengi mastaa watatumbuiza.

Hatimaye tamasha kubwa lifutie leo Jumapili tarehe 6 Novemba 2016 ambapo wageni mashuhuri zaidi ya 6,000 wamealikwa kuwepo.

Rich Mavoko


Hata hivyo msanii chini ya Wcb Wasafi , Rich Mavoko ametumbuiza usiku wa jana tarehe kaunti ya Kiambu Kenya pamoja na timu nzima ya Wcb katika klabu ya Makuti Lounge-Kiambu.

mkazivaeunit

Advertisements