Video: ‘JAH’-Femi One

Video mpya ya msanii wa kike nchini Kenya na mwenye bidii kubwa.

Femi One


Femi One ambaye anatamba na single yake mpya, ‘Jah’ amekuwa gumzo kwenye vichwa vya habari na burudani tukonana na uwezo wake mkubwa hadi juhudi zake za kuwashirikisha wasanii marapa wa bongo flava Tanzania.
Wimbo huu umeandaliwa na Producer Riccobeatz na video kuongozwa na director Rich G.

Fuata link hapa chini uone video hio ‘Jah‘.

mkazivaeunit

Advertisements