Wimbo Mpya: ‘Nuh Normal’- Redsan

Fahamu ujio wake mpya gwiji wa mistari ya ragga na dancehall nchini Kenya.

Swabri Mohammed aka Redsan amekuwa kwenye game tangu kitambo na bado ni maarufu kwa muziki wake wenye mnato wa kijamaica.

Aliachia nyimbo kama ‘Badda dan Most’, ‘Touch me there’, ‘Shoulder back’ na sasa ameachia wimbo wake mpya ‘Nuh Normal’ chini ya lebo ya Main switch ikitayarishwa na producer Philiph Makanda. 

Ni wimbo mzuri wenye mshiko wa aina yake. Pata muda nawe uweze kuskiliza lakin pia kusambaza link kwa wenzako. 

Bofya hii link hapa chini; 

https://mkito.com/song/13994

mkazivaeunit

Advertisements