Video Mpya: Bahati Tena na Jokate, ‘Maria’ 

Ni leo tarehe 14/11/2016 hapo msanii wa gospel Kenya ameachia collabo yake na mwanamitindo msanii kutokea Tanzania.

Bahati aka Mtoto wa Mama amefanya ujio huo mpya na aliyewahikuwa mpenzi wa Diamond Platnumz lakin pia Ali Kiba, Jokate Mwegelo maarufu kama Kidoti.

Bahati na Jokate aka Kidoti


Collabo yao ‘ Maria’ inakuja punde tu baada ya mpinzani wake Willy Pozee kuachia collabo yake na msanii wa Nigeria ‘African Lady’.
Bahati amewahi kujihusisha kimapenzi na mwigizaji wa Tz Elizabeth ‘Lulu’ Michael japo ilifeli. Mara hii yupo karibu na Kidoti kitu ambacho bado ni kitendawili iwapo wapi kwa mahusiano ya mahaba.

Bofya link hapa chini ili uatazame video mpya ‘Maria’ ambayo ina views elfu mbili kwa siku Moja kwa YouTube.

Bahati – Maria (Official Video): http://youtu.be/ImO93Jv8QYQ

Unaweza kutufuata kwa mitandao kupitia; Facebook: Antony Mckenzie

Twitter: @antonymckenzie

Instagram: @antonymckenzie

Soundcloud: Antony Mckenzie

mkazivaeunit


Advertisements