Video: Jay A ‘BALAA’

Ni yule yule mkali wa dumbala remix kwenye ujio wake mpya. 

Jay A

​
 Ali Juma aka Jay A amekuwa kwa game kwa kipindi kirefu sasa na watu walishamtambua na uwezo wake mkubwa wa kuimba na kurap mistari hatari.
Amefanya collabo nyingi na moto kama ‘Iyo’ yake na msanii wa pwani Dazlah, Tiana na wimbo wake ‘Smash’

Mara hii anatamba kwa video ya wimbo ‘Balaa’ ambao uliachiwa mnamo tarehe 20 Oct.2016 chino ya producer Side B (Ulopa Ngoma) na video kuongozwa na Kelvin Bosco Jnr.

Wimbo huu upo kwa mtandao wa YouTube na views kibao karibu laki moja.

Pata nawe kutazama video hii ‘Balaa’ kupitia link hii hapa chini.

BALAA – Jay A: http://youtu.be/uW7Li5oRhTk

*********************”******

Wasiliana nasi ukiwa  na jambo au mchango hapa;

http://www.facebook.com/Antony McKenzie

http://www.twitter.com/@antonymckenzie

http://instagram.com/mc.Antony

Email: kakakazungu@gmail.com

WhatsApp: 0702662012

mkazivae


Advertisements