WILLY PAUL MSAFI FT SIZE 8 TIGA WANA 

Hapa ndo unapata kila aina ya burudani na masuala ya muziki yapotokea.

Willy Paul Msafi na Size 8 Reborn


Baada ya Willy Paul kushirikisha mwimbaji mwenzake wa gospo Siz 8 aka Namba Nane kwa mara nyingine, nimekusogezea link ya wimbo huo moto kweli. Unaitwa ‘ Tiga Wana’  ili uweze kuenjoy na kusambaza pia.

Willy Pozee na Namba Nane

Willy pozee baada ya kutwa tuzo


Fahamu pia Jumapili ya jana tarehe 20/ 11/2016 msanii Willy Pozee ametwaa tuzo kwenye tamasha la kutuza wasanij wa injili Kenya maarufu kama Mwafaka Awards 2016 kwenye kitengo cha Best Collabo of the year- ‘Sijafika’ na pia msanii bora wa mwaka.
Fuata link hii hapa chini upate uhondo.

WILLY PAUL MSAFI FT SIZE 8 TIGA WANA LEAKED: http://youtu.be/Xv9enrp3IpU

Wasiliana nasi kupitia hapa:

http://www.facebook.com/AntonyMckenzie

http://www.twitter.com/antonymckenzie

http://www.instagram.com/mc.antony

Email:kakakazungu@gmail.com

WhatsApp. 0702662012

mkazivaeunit


Advertisements

3 responses to “WILLY PAUL MSAFI FT SIZE 8 TIGA WANA 

  1. Pingback: WILLY PAUL MSAFI FT SIZE 8 TIGA WANA  – Site Title·

  2. Pingback: BRIOZH COMBINATIONS·

Comments are closed.