Jmw@t anategea mchumba wa China

Mmmmh Mapenzi kizunguzungu na yaliletwa na mungu.

Tambua mkali wa muziki nchini Kenya aliyeanzisha na kuendeleza muziki wa Genge, ameanza kuonyesha dalili za kuasi ukapera.

Jmw@t mwimbaji wa wimbo uliokuwa wimbo wa taifa kwa kupigwa kila kona ‘Under 18’ huenda akawa amekubuhu kimahaba na kumfikia kimwana mwenye ukomavu na penzi la kiutu uzima.

Mwimbaji huyo ambaye alitatizika kimuziki kisa madhara ya miahadarati aneandele kurejea katika hali yake ya kawaida na ubora wake.

Mpenzi wake huyo yupo nchini China kazini ambapo Jmw@t anamsubiria akija Kenya pete za uchumba na shamrashamra za ndo zitande.

Usipitwe na story kali za wasanii na mastaa mbalimbali. Zipate humu humu. Sambaza link kwa uwapendao.

mkazivaeunit

Advertisements