Ali Kiba na Justin Beiber- ‘SOME TIMES’

Ni punde tu madai ya msanii gwiji duniani kutoka Canada kuhusu ndoa yake yamedhihirika.

Gwiji huyo kutoka Marekani ameweka madai hayo ya kuwa ameoa wazi kwa kudai kwamba yeye yupo pekee na hayupo tayari kuoa.

Justin Beiber anayetamba kwa wimbo wake ‘Sorry’ lakin pia ‘Love Yourself’ amepata shavu kutoka kwa mkali wa bongo fleva Ali Kiba aka King Kiba katika wimbo unaotayarishwa kwa jina ‘Some Times’.

King Kiba anazidi kutanua na kukomaa katika hili game la muziki duniani na pia kuachia mashuti hatari kama ‘Aje’ aliyomshirikisha MI kutokea Nigeria.

Wasanii hao wawili wapo chini ya lebo moja kubwa duniani Sony Music.
Wimbo huo unatayarishwa na Skyred Records.

Beiber anatarajia kufanya music tour ya Album yake ya kwanza mwaka 2017.

Pata burudani yote kupitia hapa hapa. Kumbuka pia kusambaza links!!

Tuwasiliane kupitia links hapa chini;

http://www.facebook.com/AntonyMckenzie

http://www.twitter.com/antonymckenzie

http://www.instagram.com/mc.antony

Email address: kakakazungu@gmail.com

johnydevi4@gmail.com

WhatsApp/ Call: +254702662012.

mkazivaeunitAdvertisements