VODACOM WASAFI FESTIVAL 25th Dec 2016

Team Wcb Wasafi

Kampuni kubwa ya VODACOM ikishirikiana na timu kubwa ya kimziki aina ya bongo fleva almaarufu WCB WASAFI inakukaribisha kwa shoo babu kubwa itakayofanyika IRINGA SAMORA STADIUM uko TZ,nyote mwakaribishwa,kiingilio ni Tsh30,000 pesa ya TZ,karibuni nyote kwa shoo ya kufunga mwaka itakayofantika Beach Party Dar esSalaam.


Tarehe 24/12/2016. Karibuni.

    mkazivaeunit


    Advertisements

    3 responses to “VODACOM WASAFI FESTIVAL 25th Dec 2016

    1. Pingback: VODACOM WASAFI FESTIVAL 25th Dec 2016 | BRIOZH COMBINATIONS·

    Comments are closed.