KenRazy Ghipuka boda kavuka

Mmmmh waliseme wahenga mwenye nguvu mpishe.

Hii ni baada ya mwimbaji msanii wa Kenya kufanya collabo moto na mwanadada msanii maarufu kwa jina Avril Kenya.

KenRazy kushoto. Lady Jay Dee Kulia.


KenRazy Ghipuka amechipuka tena baada ya kuachia collabo hio kwa jina ‘Zile Vitu’. Ameonekana tena kwenye picha ya pamoja na staa wa muziki wa nchini Tanzania. Picha hio aliyoiweka Facebook yake KenRazy, na kuiandika kama mashabiki wanataka afanye collabo na msanii huyo inaonekana kuna kitu kipya njiani.
Lady Jay Dee ndiye walikuwa pichani na KenRazy na ni msanii wa likemkongwe kwenye game ya muziki wa bongo fleva. Anatamba na kibao ‘Ndi Ndi Ndi!!’

Je yepi maoni yako kuhusu colabo kati ya wasanii hao wawili??

Advertisements

One response to “KenRazy Ghipuka boda kavuka

Comments are closed.