Bifu la Willy Pozee na Bahati Tena

Hii nayo mwisho wa mawazo kati ya bifu la Willy Paul aka Pozee na Bahati aka Mtoto wa Mama.

Licha ya kuwa wasanii hao wawili wanafanya muziki wa gospel, kuna jambo la siri. Ni mahasimu.

Willy Pozee na Bahati


Willy Pozee hapendi nyimbo zake msanii mwenzake Bahati, anaziponda kwa dharau na kiburi tu. ‘Take It Slow’ wimbo wake Pozee unazungumzia hayo yote. Pia naye Mtoto wa mama akizitonesha donda sugu hili kwa single yake‘ In Love’ iliyofuatiwa na collabo yake na Jokate aka Kidoti ‘ Maria’.
Hili bifu nimezidi kutanua kupitia pia jumbe za kupondana kwenye mitandao ya kijamii lakini pia wimbo ‘ Fanya’ wake Willy Pozee uliofuatiwa na collabo yake na Size 8 ‘Tiga Wana’ ambayo inamjibu kwa kejeli msanii Bahati.

Pozee na Bahati


Mashabiki nao na fikra zao kizani, wanazidi kuwagonganisha waimbaji hawa wa injili Kenya na kuzua tafrani katika soko la muziki Kenya.

mkazivaeunit

Advertisements

One response to “Bifu la Willy Pozee na Bahati Tena

Comments are closed.