Video mpya :King Kaka ft RedFourth Chorus ‘Senzenina’

Wimbo na video yake mwimbaji rapa mkali kutokea 254 Kenya umeachiwa.

Mkali huyo wa ‘Cheza Chini’ ameamua kushirikisha RedFourth Chorus na kunogesha utamu.​

Director : J Blessing. Producer : Filah

Unaweza kupakuwa wimbo ‘Senzenina’huo kwa YouTube kupitia link hapa chini.

Mitego_Saaa

Advertisements