Video Mpya: Matonya-‘Hakijaeleweka’

Mkongwe wa Bongo Fleva Seif Shabaan aka Matonya arudisha makali yake kwenye sanaa ya mziki.

Baada ya kuachia video ya Sugua Benchi iliyofanya vizuri kwenye chati za East Afrika hatimaye Matonya ameachia video ingine mpya ya wimbo wake unaokwenda kwa jina la ‘Hakijaeleweka’ Itazame hapa kwa mara ya kwanza

Advertisements

3 responses to “Video Mpya: Matonya-‘Hakijaeleweka’

Comments are closed.