New Song: ‘Muziki Majanga’- Dogo Richie

​Mkali wa ‘Yoyobah’ Dogo Richie Aka Richy Richie awachana wasanii wenzake kwa nyimbo yake mpya.

Hii imeleta gumzo na hisia mbali mbali kwa wasikilizaji pamoja na wasanii kwa ujumla.

Dogo Richie


Dogo Richie anayesimamiwa na Producer Emmy Dee  ni msanii mkali pwani na anafanya vizuri sana
Kama hujapata kuisikiliza bonyeza link

https://mkito.com/song/15253

Wimbo Mpya: ‘MUZIKI MAJANGA’- Dogo Richie

Mitego_Sasa

Advertisements