New Video: Eddy Kenzo Ft Alaine- ‘Addicted’

East Africa’s First Bet Award Winner Edirisa Musuuza aka Eddy KenzoKutoka Uganda akutana na Mwanadada wa mziki wa Regge kutoka Jamaica Alaine na kuachia bonge la hit kwa jina ‘Addicted’.

Eddy ametamba na vibao kama Sitya Loss, Zigido, Soraye na vingine vingi.

Ni msanii mwenye mvuto mkubwa nchini Uganda.

Eddy


Nyimbo yake hiyo mpya imefanyiwa Dallas, Marekani.
Imeongozwa na mwongozaji wa video kutoka Nigeria Patrick Elis.

Alaine na Eddy


Pata kuitizama kazi yake hapa

#Mitego_Sasa

Advertisements