New Video: Bilari Ft Nai Boy- “Ushaskia”

Amekuwa mwanamziki, Mchekeshaji, Mwigizaji na  pia  CEO of Wapi Lighter,mwite Bilari Aka ‘King of Bounce’.

Alitamba na vibao kama “Iko Sawa”, “Perfect Gal” na “Ukibonga Mbaya”

bilari.jpg

Bilari amerudi tena na ngoma mpya akimshirikisha Nai Boy. ‘Ushaskia’. ndo jina la kazi hiyo mpya

Pata kuitazama hapa

#Mitego_Sasa

Advertisements