Diamond Awarushia Matusi Makali Wanaomchukia

Raisi wa Wasafi Diamond Platinumz aka Chibu Dangote aka Simba kama anavyojulikana Afrika Ya Mashariki nyota yake imenawiri kwa kasi kwenye sanaa ya muziki.

diamond-1Diamond

Jumapili iliyomalizika, Diamond alikuwa live kwa  kwenye mtandao wa Insagram akiwa nyumbani kwake, Pretoria, Afrika Kusini pamoja na familia yake. Kwenye video hiyo Platinumz alionekana na familia yake akiwemo mke wake Princess Zari The Boss Lady na mwanawe wa kwanza Tiffah.

IMG_20170131_214538_433.JPG

10625109_1199470173428898_1071319061501231231_nDiamond, Zari na Tiffa

Hata hivyo mambo yalibadilika baada ya staa huyo kuanza kutokwa na matusi ya nguoni aliyoyaelekeza kwa mtu anayemchukia.

“You don’t need to hate me because I don’t hate you, by the way I don’t f*cking know you, the person that hates me, I don’t know him,” anasikika Diamond kwenye video hiyo.

“I only know people who love me because I always concentrate with people who love me, who support me, if you hate me f*ck you, I don’t know you,” lilimchomoka tusi.

Aliendelea, “You don’t even stress me out because I know you must be broke, If you are not broke, there is no way you can hate me, if you hate me you’re motherfcking broke, and if you’re broke you can’t stress me out because I got money more than you, I got cars more than you, I got houses more than you, I got money motherfcker in the bank more than you. You and your family know that, so if you hate me go to hell.”

Alibadilisha lugha, “Nyie mnaonichukia endeleeni kunichukia sababu kila siku nafanya maajabu, mwaka huu ndio nafanya maajabu mengi.”

Kama kawaida, video hiyo imepokelewa kwa hisia tofauti na mashabiki wa Diamond huku wengi wakichukizwa na matusi aliyoyatoa.

Advertisements