Dazlah Kiduche kudondosha wimbo mpya Valentines Day

Mkali wa mashairi na nyimbo tamu kutokea pande za pwani ya Kenya amefunguka tena.

Mara hii amezungumzia ujio wake mpya utakao dondoka siku ya Jumanne tarehe 14/2/2017 siku ambayo ni maarufu duniani ‘Valentines Day’ kwa wapendanao.

Dazlah Kiduche


Dazlah Kiduche ametamba na nyimbo nyingi kama ‘Waongee’ na sasa ameongea na Mitego_Sasa na kubainisha wimbo huo ambao ni Single yake pekee moto Sana.
“Nitakuwa naachia ngoma mpya siku ya valentine. Hii ngoma motoo Sana’a” amesema Kiduche.

Sambaza links zetu popote ili kuhahikisha muziki wetu unapata nafasi bora katika soko la muziki duniani.

Tufuate kwenye social media outlets kupitia links ziko hapa kwenye ‘Blog Links” page.

#Mitego_Sasa

Advertisements