Mastaa wasiojali kuhusu Valentines Day

Ikiwa hujafahamu kuwa siku ya wapendanao duniani imewadia hapo kesho tarehe 14/2/2017,basi kajiandae!

​Kunao wapenzi wengi wanaopania kufanya mambo makubwa kwa wapenzi wao siku hio ya V-Day kuhidhirisha mapenzi yao na jinsi wanavyojali na kuenzi mapenzi yao.

Hapo hapo kunao wasio na wapenzi na sio kwamba ni dhambi, ila ni chaguo la mtu binafsi kusherekea siku hio kivyake. Kama nawe huna kipenzi usiwaze.

Fahamu baadhi ya mastaa wasio ipa siku hio ya Valentines Day umuhimu mkubwa katika maisha yao.

JB


Huyu hapa Justin Beiber aka JB mwimbaji mkubwa duniani anayetamba na kibao ‘Sorry’ ambaye hajihusishi na sherehe hizo kutoka kitambo.

Victoria Kimani


Mkali wa nyimbo kama vile ‘Prokoto,Two of Dem’ na ambaye anatesa na album yake mpya ‘Safari’ naye yumo kwenye orodha hii. Victoria Kimani ambaye ni Msanii wa kike mkubwa duniani kutokea Kenya, hana dili za V-Day kwani muziki kwake toshaa.

Kutokea Bongo, Simba aka Baba Prince Nillan anazidi kutanua kimuziki na ngoma yake pamoja na Ne~Yo, ‘Marry Me’. Licha ya Diamond Platnumz kuwa mumewe Zari da boss lady, hajakuwa akizungumzia mambo ya V-Day kutoka kitambo kwani yupo bize na muziki wake.

Fahamh yote hapa kupitia links zetu. http://www.mkazivaeunit.wordpress.com

#Mitego_Sasa

Advertisements