Video Mpya: Dazlah King Monde – ‘Waongee’

Mkali wa muziki mzuri wa bongo flava kutokea pwani ya Kenya, amekiwasha tena.

Mara baada ya kuachia single audio yake ‘Waongee’ majuma kadhaa nyuma, nayo video tunayo.

Dazlah aka King Monde


Dazlah Kiduche aka KingMonde ameachia video hiyo leo ili nawe shabiki upate kitu cha kufurahia kutoka kwa kazi zake.
Kwa sasa burudika na kichupa hicho kipya hapa kwenye link;

Share!! Comment!! And Like!! #WaongeVideo #KINGMONDE👑


#Mitego_Sasa_Blog

Advertisements