Video Mpya: Rankaddah – ‘CALL ON 999’

Mkali wa nyimbo za rap na pia mwenye style yake tofauti na wasanii wengine ameachia kazi mpya.

Rankaddah


Rankaddah aka Ula Kamba ambaye anafahamika kwa michano yake hatari ya kuchanganya lugha kama vile Kamba kwenye nyimbo zake amerudi na video mpya baada ya kutesa na nyimbo nyingi kama vile ‘Hatari, Tukimalisia, Tingika’ na nyinginezo.
Ula Kamba ameachia video hio jana kwa jina ‘Call On 999’. Hii ina maana kuwa ni wimbo wa kuotea mbali kwani namba hio ni ya kuita vikosi vya usalama panapotokea jambo la dharura.

​Producer Jack Jack On The Beat. Director VJone.

Tazama video hii mpya hapa chini. Kumbuka na kushare links.

https://youtu.be/IWdBhtYLAKU kindly watch, like, comment,share.

#Mitego_Sasa_Blog

Advertisements