ALIKIBA ft RUBI ft OTILE BROWN 2017

Bongo fleva mwaka huu 2017 inakuja kimtindo mtindo ili nawe shabiki upate kazi kwa kishindo.

King Kiba


Kama si Diamond basi ni Ali Kiba anayetesa anga za burudani. Basi mara hii King Kiba baada ya ‘Kajiandae’ yake na Ommy Dimpoz, amerudi na kazi mpya akiwapa shavu wasanii  Rubi pamoja na msanii wa pwani ya Kenya, Otile Brown.

Otile Brown


King Kiba pia alifanya remix ya ‘Aje Remix’.
Collabo yao hii kwa  ni moto bila mkaa.

Skilaza kazi hio mpya hapa; 

NEW 2017 ALIKIBA FT RUBI FT OTILE BROWN: http://youtu.be/VMK3FNgKAe0

#Mitego_Sasa_Blog

Advertisements