Video: Cheche za kuvuana Nguo mitandaoni Mombasa

Ndani ya mji wa  Mombasa mwezi uliopita kumekuwa na kashfa kwenye mitandao ya kijamii haswa Facebook.  

Watu wamekuwa wakitukanana na kuharibia majina kiholela holea. Nikiangazia story ya hivi majuzi mwanadada mmoja alipost video yake akirecord jinsi alivyoudhika na tabia ya wanaume wa huku pwani.

Mwanadada huyo alitupia hisia zake kwa ukali mno na kuwatusi wanaume wote wa kanda ya pwani.

Tazama video ya matusi ya kisenge hapa chini.

#Mkazivae_Unit

#Mitego_Sasa_Blog!!

 

Advertisements