New Video: Madini Classic – ‘Nikaribishe’

Baada ya kazi nzuri kudondoka kwenye media zote za burudani na kila sehemu za starehe, sasa pata full utamu.

Kazi na dawa wengi wanafahamu, audio yake Msanii kutoka pwani ya Kenya inazidi kutesa na kusumbua kwenye playlists nyingi tu.

Madini Classic


Madini Classic kutokana na ubunifu wake anazidi kusogea karibu kwenye soko la muziki East Africa na duniani. Wengi mashabiki na wadau mbalimbali walishakubali kipaji chake cha pekee achia mbali sauti ya malavdavi kwenye vocals zake.

Madini Classic


Akiwa chini ya Gway- Records, ameachia audio yake  Kewil kwenye ubora wake kwa ushirikiano na Simama Records mikono yake producer Daniel Adams.
Video yake mpya hii ‘Nikaribishe’ ameachia bonge la idea kwani anazungumzia kuwa penzini na binti wa kisonko yaani gate kali na kumpenda huku binti akimkubali ila tatizo wazizi wa binti balaa. Ndipo anaomba tu apokelewe ‘Nikaribishe.

Video chini ya uongozi wake director Johnstone Kyalo anayehusika kwenye video za wasanii kama King Kaka, Khaligraph Jones na ‘Tip Toe’ ya Femi One na Kristoff.

Madini Classic


Tazama kazi mpya ‘Nikaribishe hapa kwenye link;

#Mitego_Sasa_Blog

Advertisements