New Song: Harmonize- “Niambie”

harmonizeWCB Wasafi records hatari aisee..!!

Siku chache zilizopita Harmonize ameachia ngoma zake mbili mpya ikiwemo “Happy Birthday” na sasa amekuja tena na ujio mpya kwa mashabiki zake.

“Niambie” ikiwa jina la kazi hiyo. Pata kuzikiliza hapa kama bado haujafahau utamu.

Bonyeza link iliyoko hapo chini upate kuidownload 👇👇

http://bekaboy.com/2017/03/harmonize-niambie/

Advertisements