Darasa ‘Bra Bra Bra’ sitaki kuskia @Ngong Race Course

‘Maisha na Muziki, Wacha Maneno Weka Muziki’

Ni baadhi ya mistari kwenye wimbo wake 255 Champion Bwana Samatta.

Darasa anatamba na kibao chake maarufu kama ‘Muziki’ na sasa atakuwa anatua Kenya kuupeleka muziki To The Top Top.
Tarehe 18/3/2017 atakuwa maeneo ya Ngong Race Course kwani sio Simba sio Chui so Mamba na Ngozi yake inatosha kujigamba.

SAA Nane Mchana (2pm) hadi mida ya lawama(Late).

#Mitego_Sasa_Blog

Advertisements