Video: Chain Lamar ft Rubiya Ramall – ‘Cheka Cheka’

Kila kuchao na muziki unapanda ngazi nao.Fahamu Mkali Msanii Kutoka Kenya. Chain Lamar anayefahamika kama Moses Omondi Otieno alizaliwa na kukulia Chain Lamar also known pwani ya Kenya Kilifi.

Chain Lamar

Lamar  ni msanii wenye bidii ndani ya Martial Arts and Music Kisumu anatambulika Kama Msanii bora wa Hip Hop music kwani anauwezo mkali wa kuimba na kurap kwa wakati mmoja. 
  Msanii huyo amekuwa nguzo kubwa kwa jamii yake Bali na kuwa msanii amejitosa kidedea kuisaidia jamii kwani alishawajengea watoto maktaba ya kusoma (Library) maeneo ya Nyalenda Slums anakoishi mwenyewe. Kipaji chake na uwezo wa kucheza Gitaa, Drums, na Vocals kali, anatumia uwezo huo kuwafaa wenzake haswa wasanii wachanga wanaoibukia.

Lamar


Lamar ameshafanya kazi na wasanii wengine wakubwa Wa eneo la Kisumu na pia wengi kutoka sehemu tofauti Kenya.
Kwa sasa Lamar amelipa hatua na kufungua kampuni yake ya muziki maarufu kama MADAKTARI WA MUZIKI CLASSIC (MWM) Classic yeye ndiye kiongozi CEO ili kuzidi kupanua muziki na kukuza vipaji.
Mbali na hayo, mwimbaji huyo anayefunza wasanii jinsi ya kuperfom kwa stage, ana pia Clothing Line yake inayotayarishwa na kuuzwa Beyo Beyo Collection.
Akiwa Kisumu Lamar ameachiangoma kadhaa kama vile ‘Mapenzi Gani, ‘Tabasamu, ‘Flag Ya Chuma’, ‘Okoa Kenya’ na sasa mpya inayotesa kwenye vituo vya habari na mitandao ‘Cheka Cheka’ na video kuongozwa na Ricky Beko.

Lamar

Amehusika pia kwenye collabos na Black Sultan ‘One More Time’, Na Proff ‘Hola Hola’  STC ‘Nishaelewa’.

Amepanda jukwanii na wasanii wakali Kama Amelina kwenye Kisumu Fashion Show, Sauti Sol kwenye Nile Festival na pia Proff.

Fuata link ya video yake ‘Cheka Cheka’ aliyomshirikisha msanii wa kike Rubiya Ramall.

https://youtu.be/nj20wI05OMA

Mitego_SASA_Blog

Advertisements