Audio: Diamond kamshauri Willy Paul kuhusu Ali Kiba

Willy Pozee anayesaka kiki nchini bongo amefika ndani ya afisi za Wcb Wasafi na kukutana na Simba.

Msafi ndani ya Wcb Wasafi


Diamond amemshauri mengi kuhusu muziki na sasa Willy Pozee ana jambo la kufurahia na kufanyia maamuzi.

“Karibu Msafi mwenzangu humu Tz, kwenye Mishe zako za Media Tour. Unafanya kazi zuri pongezi mno ila usiwe kama Kiba. Ali Kiba ni Msanii mkali mpaka Mimi namwogopa Sana ila tatizo lake hana Nyota”

kasema Diamond Platnumz

Pozee na Simba

Pozee na Simba


Hata hivyo mwimbaji huyo wa ‘I Do’ amekuwa akifanya muziki wa aina ya gospel ila kwa sasa ameaza kudilisha mtindo ili kuwa huru.

“Ningekuwa wewe sasa nisingeufanya muziki gospel tena. Hela muhimu na dunia sasa inaenda na mambo ya kimapenzi tu. Bahati ni mwenzako ana nyota kali pia ndo maana naskiaga ana shabakiwa zaidi yako. Humu Wcb Wasafi huna nafasi ila kupiga picha tu basi. Fanya Maamuzi kuhusu mziki wako usiwe Kama Ali Kiba!!”

kaongezea Simba Diamond.

Willy Paul atamaliza Media tour yake tarehe 19 mwezi huu na kuishi Tz.

Skiliza Audio hapa kwa page yetu..Na Piga Like!!

https://m.facebook.com/MkazivaeUnit/

Ni UMBEYA tu wa MKAZIVAE UNIT!!

MITEGO_SASA_BLOG

Advertisements