“Je Mapenzi Ni Makosa?”auliza Willy Paul

By Dama Dee.

JE! WILLY PAUL ANATUJENGA KIDINI?
Muimbaji mashuhuri wa nyimbo za dini, Willy Paul aka Willy Pozee aleta swala la utata miongoni mwa waumini baada ya kutoa wimbo wa mapenzi wakishirikiana na Alaine ambaye ni muigizaji wa nyimbo za dunia.

Willy Pozee na Alaine


Swala hili limezua mijadala mengi mitandaoni watu wakimkashifu kua anafanya mzaha badala ya kueneza huduma katika injili.
Willy Paul basi akaamua kujitetea kwa kuwapa swali lililowanyamazisha watu. Nani aliumba mwanamke na je mapenzi ni makosa?”
Je, utamjibu nini Willy Paul swali lake hilo?
#Mitego_Sasa_Blog

Advertisements