Roma Mkatoliki Atekwa Studioni

Wahuni wasiojulikana wameteka msanii nyota wa Tanzania.

Roma

Roma Mkatoliki rapa mkali hajulikani aliko tangu juzi alipotekwa nyara studioni.

Ameeleza mkewe Roma kwa video hapa chini anasimulia habari hizo za kushtua kwani wamemkosa hadi vituo vya polisi. Skiliza hapa;

​Hata hivyo watekaji hao walimnasa wakati yupo studioni kwenye mishe zake za kazi, walipora vifaa vya studio hio ya Tongwe Records kwa mujibu wa mmiliki wa studio na ambaye hakuwemo wakati wa tukio hilo na ugaidi.

Roma


Tazama video yake hapa akinyoosha maelezo.
​Je, muziki umevamiwa na wahuni wasiojali harakati za wasanii na changamoto zinazowakumba kuukuza?? 

#Mitego_Sasa_Blog.

http://www.fb.com/MkazivaeUNIT

Advertisements

One response to “Roma Mkatoliki Atekwa Studioni

Comments are closed.