Wimbo Mpya: Diamond – ‘Acha Nikae Kimya’

Tangu zimesambaa taarifa za kupotea kwa mwana hip hop wa Tz, na nyimbo imetoka.

Roma Mkatoliki aliyetekwa nyara studioni na kupotea, sasa naye Simba ametoa sauti.

Diamond Platnumz ameachia Exclusive wimbo mpya unaosadikiwa kusuta uhuni unaokithiri ndani ya Tanzania. Juzi taarifa za kuhusu kituo cha habari kimoja kuvamiwa na watu wenye vyeo serikalini zilisambaa, mara viongozi wengine kufoji vyeti. Msanii Ney Wa Mitego kafichua hayo kwenye wimbo wake maarufu kama ‘Wapo’.

Sasa zamu yake Diamond japo ameamua kufunga mdomo kuhusu kukamatwa kwa Roma, kwenye nyimbo yake mpya ‘Acha Nikae Kimya’ ameyagusia mengi yanaodhihirisha kasoro za kiuongozi tangia serikali ya kwanza ya Mwalimu Julius Nyerere.

Bofya link hapa chini kuskiliza wimbo huo mpya;
Diamond Platnumz .Acha nikae kimya Audio: http://youtu.be/vbUnYJgEGcY

#Mitego_Sasa_Blog.

Sprd: https://youtu.be/7TH4nu-p5W0

http://www.fb.com/MkazivaeUNIT

Advertisements