“Never Again!” The Winner akumbuka Rwanda Genocide

Siku za hivi karibuni nchi ya Rwanda wemeadhimisha miaka 23 tangu mauwaji ya halaiki.

Serikali ya nchi hio pamoja na wananchi wameungana kwa pamoja kuomboleza vifo vya raia wao waliaga dunia kupitia vita vilivyozuka kati ya Bahutu wakiuwawa bure na jamii ya Tutsi.

Janga hilo la taifa ambalo husomwa kwenye history, lilizua maafa mengi  na ukumbukwa ili kuzuia mapigano kama hayo duniani.

Wasanii nao hawakuachwa nyuma kuungana na walendo wa nchi kutoa    pole zao na kwa kauli moja ya ‘Never Again’  tukio kama hilo kurudiwa. Msanii wa Rwanda The Winner ni mmoja wao.

The Winner. Msanii Rwanda


#Mitego_Sasa_Blog.

Sponsored: https://youtu.be/7TH4nu-p5W0

http://www.fb.com/MkazivaeUNIT

Advertisements