Gospo fest Official Easter Concert

Fahamu sehemu za kujiburudisha weekend ya musimu huu wa Pasaka.

Hapa nakusogezea bonge la show maarufu kama  ‘Gospo Fest 2017’ (Celebrating Jesus) Official Easter Concert itakayofanyika siku ya Jumapili,tarehe  16 2017 kwenye Arboretum Grounds kuanzia saa saba mchana (1pm).

Hii sio yakukosa kwani watakuwepo watu mashuhuri na wasanii kadhaa wa gospel kama vile DK kwenye Beat, LJ Masai,  Shawawa, Dany Gift, Dj Mo,Dj Nicks, Camp David na wengineo.


Kiingilio ni shilingi Ksh 100 kwa kawaida. VIP Ksh 500.

Hii Siwezi Kosa!!

#Mitego_Sasa_Blog.

http://www.fb.com/MkazivaeUNIT

http://www.instagram.com/mc.antony


Advertisements