Kisa cha TK2 kuheshimiana na Mafioso Kenya

 Ahaa!! Kumbe kwenye riziki ndiko kwenye chuki!! 

Jipu sugu limetumbuliwa tayari na sasa kama ujafahamu ni usaha wa  bifu za muziki.

Producer wa Mafioso kundi la muziki kutokea Diani Pwani ya Kenya, amemwaga manyanga kuhusu producer TK2.
Kimshizo  aka Beatz Boy amelipua siri ya TK2 kubania hit song ya kundi hilo la Mafioso Kenya, ambao walishirikisha wasanii wengine- Kigoto, Chapatizo, Masauti na Sudi Boy.

Mafioso kwenye Pwani FM


Kwenye media tour yao pwani, wamefunua jipu hilo na kuweka wazi kwamba ilibidi ‘waheshimiane’  kwanza ili TK2 afanye hima kutengeneza wimbo huo  ‘Niko Nawe’.
http://www.soundcloud.com/Antony-Makenzi

Mitego_Sasa_Blog imepeleleza na kufumbua haya;

“Tulimlipa doh afanye kazi zetu akakua akituzungusha kitoto ikabidi tutimiziane heshima na pia iyo nyimbo ya NIKO NAWE yenye ilikua na akina kigoto chapatizo,masauti na sudi boy producer wetu ndio aliunda beat and everything ata skiza flavour za beat but tk2 akambania ..Beatz boy aka Kimshizo akanyamaza but fununu zikatembea adi leo radio station wakaamua kuuliza so ikabidi jipu litumbuliwe” kasema producer Beatz Boy.

Unaweza kubofya link hapa chini ili kuskiliza maelezo yao;

Fahamu mengi kupitia hapa hapa kwenye blog yetu na pia uwe mwana Mkazivae Unit.

Mitego_Sasa_Blog.

http://www.fb.com/MkazivaeUNIT


Advertisements